New Audios

Beka Flavour – Nakupenda

Tanzanian bongoflava recording, singer and songwriter better known as Beka Flavour today he has come back with brand new banger tagged Nakupenda.

Read Lyrics Below…

Mmmhh… Nakupa sifa zote baby, unanichanganya changanya eweh baby iih, Kwenye sita kwa sita wee fundi baby iih..

Unanikoroga koroga sijiwezi iih eeh, Mbalamwezi kwa kiza unanimulika mwezako me nang’aa ng’aa, Penzi la miujiza nalopata kwako nabaki tu kushangaa, Mbalamwezi kwa kiza unanimulika mwezako me nang’aa ng’aah, Penzi la miujiza nalopata kwako nabaki tu kushangaa.

Chorus

Mpezi wangu nakupenda wewe tu, Me mwenzio bila wewe si kitu, Tumwombe mungu atuepushe vitu vitu, Tuishi milele mpaka tuone vitukuu, Washachelewa aah aah oweoh, Ushawaiwa aah aah oweoh, Washachelewa aah aah oweoh, Ushawaiwa aah aah ooh oweoh.

Verse 2

Mmh eeh aah, Kuna bebe zenu halafu kuna wangu ni mtu na nusu, Penzi linawaka waka halizimi si umeme wa luku, Kuna bebe zenu halafu kuna wangu ni mtu na nusu, Penzi linawaka waka halizimi si umeme wa luku, Yeye na mimi tupo sayari yetu sayari yetu, Tumeridhiana na yetu madhaifu madhaifu.

Chorus

Mpenzi wangu nakupenda wewe tu, Me mwenzio bila wewe si kitu, Tumwombe mungu atuepushe vitu vitu, Tuishi milele mpaka tuone vitukuu, Washachelewa aah aah oweoh Ushawaiwa aah aah oweoh, Washachelewa aah aah oweoh Ushawaiwa aah aah oweoh.

RELATED : Beka Flavour – Missing You

Listen to “Beka Flavour – Nakupenda” below

Write A Comment