Young Lunya - Freestyle Session 5
Young Lunya - Freestyle Session 5

AUDIO Young Lunya – Freestyle Session 5 MP3 DOWNLOAD

Young Lunya is an artist who sings and writes Hip Hop songs from Tanzania, today he has decided to come up with a gift of a new song for his fans, the song he has named Freestyle Session 5.

RELATED : Spyro Ft Diamond Platnumz, Teni & Iyanya – For You

READ LYRICS BELOW

Sessions 5 – Young Lunya

Tamba pande zako pande zetu hautambi*2

kama ulikuwa haujui hiki kichwa kina madini, mgodi hauwezi tosha.

Na hii nafasi hawaipati, ndo kwanza ninawanyosha.

Leta uduanz tukuletee posa.

Na bars zinakuja na upako kama ni za mwamposa.

Yes, nakuacha uninyenyekee, unafaa uwe muumini wa kanisa.

Unaona hizi line hazipindi pindi nazipanga zinapangika.

Bobo kapiga mdundo kafanya wapate wachawi watatikisa kichwa.

Huwezi kumwamba na hit ni moja za kwangu zipo kama tisa.

Baada ya hii nadondoka Ghana nakwenda tu kuchora tatoo.

Wanaojifanya wana moyo safi bado hawajakutana na Babuu.

Hii itawafanya wafumbe midomo utadhani mateja wa tambuu.

Nani hajui kuwa za kwao ni famba, za kwangu ni chambuu.

Flow ni nyingi sana, rasta utakaa sana.

Mwonekano huna me mwenzako nimeka star.

Flow zao za cku nyingi yani zimechacha.

Acha michezo ni me mwenzako kuna kitu kichwani hakijaka sawa.

Ifike time dunia ijue ukweli kuwa hamnipendi.

Na hilo kwangu siyo tatizo kwa sababu napendwa na wengi.

Njia ni mbaya na hiyo ni moja ya kitu ambayo cpendi.

Smart sana mpaka nikivua nguo napiga mahesabu kishenzi.

Pesa inafanya watoto wadogo ukiwatuma dukani hawarudishi chenji.

Siwezi kusahau kipindi mfukoni patupu nakosa hata 10Gs.

Wewe na shobo afu shobo nawewe nashangaa unavyopenda ku-trend.

Wale wanangu wa baba mmoja siwezi kuitambia OMG.

Full stop! kwenye Hustle, Pen ipoo.

Fly! wote rappers! spat we are not equal.

Why! stim mpya, same kiko.

pis nazo zipo nyingi natembeza sparkles.

pie! Rap ya kwangu na wala siyo ya kila mwenye Mdomo.

Hata punch zangu za kuzihofia huwa napiga kwenye mshono.

Pia watu wenu wanaowasifia kwa hili nawafunga Mdomo.

Level za kwangu nacheza na ??? za kwenu nyie ni konokono.

Afu sasa nachonga na njia ili rappers wengine wawahi masomo.

Wanaweza vipi kuwasikilizia wakati umefika kikomo.

Kama biashara ya kuunga unga promoter hausiki na Promo.

Watoto wazuri wote ni malaika kamuulize likado momo.

Simo, We mtata(mmh!), au vipi(okey), unawatisha(ooh!), sasa mbona hautishi(wala).

Ningekuwa uzazi wa mpango ungekuwa WEB syst.

Cyo mbaya unaweza kujiimbia coz hauskiki.

Stupid! ulidhania barua uliyoituma nitaijibu.

Hapo nikajua kuwa wewe fungu la kukosa na hauoni aibu.

Chagua moja ukae mbali sana au ukae karibu.

Ili utoke inabidi niwepo, nafikiri ushapata majibu.

Na nyie wengine wote nadhani inabidi mniskilize kwa ukaribu.

ukikaa vibaya me nakutumbua tu, ubaya silei majibu.

Ubize unafanya nakesha nikitumbua macho silali usiku.

Siye wengine wasikilizaji tu Radio za akina Chibu.

Woooh! we ukazi! siyo spaner.

Iko wazi niliwachia Range ya Yes Bana(bana).

Utandawazi ndo unafanya tunaishi kwa Drama.

Sifa nyingi mitandaoni na na-ishi kwa mama Wooooh!

Ndo Bas ushakwama, Bando si ni sawa na Bure endelea kunitukana.

Haunivish! Haunitish! Hauogopesh mwanaa.

We unatubu si tunacheza na Cash Rabbers.

Sawa vyote tunaita Michano ila hii hapa ni Next levels.

Kabla cjaingia kwenye industry niliusoma mchezo.

Naendelea kufanya bomba coz I’m so special.

Special kwa kizazi hiki na hata kizazi cha Bum bap! Bum bap!

Usiombe nikipita kwenye hizi Bum bap!

Washtue na wenzako mje mjifunze Kumbaf.

Watajitahidi ila utawachania Bum bap! kama mimi now.

Focus na kibunda sitaki, No my dreams.

Mistari yenye verse na nimegonga teams.

Gang zishaua watoto zaid ya cry mc.

Mipango ndo kitu ambacho naongea na Bamz nyingi.

So tu kwa Rappers, ubaya my Gang is to everything.

Stress kwetu zinachapwa na glass ya Hennesy.

Na vichwa vyenu vibovu vifanyiwe counceling.

You sound Demon, unyama unaofanyika hapa ni master piece.

Na nilichofanya huwezi ita Dis, ni more than dis.

Wajumbe wa nyumba kumi wananitambua run the street.

Ubishi wa nani mkali ukel ila maic tupa kule atayeweza ku-spit on it like this.

Sina mshkaji, mshkaji wangu kipaji.

Nafanya biashara ya mziki na mtaji wangu hizi kazi.

Na maokoto ni shaz, chi! chi! chi! chi! kizazi.

Naanzisha ugomvi afu kama sihusiki nakuachia tag.

Boss! vag ni vag, kichwa kikubwa af maji.

Naimba maisha ninayoishi Bro huwezi kuita ni Bragin.

Nahonga sana watoto ila huwezi ukaita ni Zaddy.

Unaweza ukafanya uchizi wako na usisingizie bangi.

Me napita kwenye trap, me napita kwenye drill, Me napita kwenye vibe ya Bitches.

Me napita kwenye njia ambayo we uliambiwa usipite ukapita kwa mistake.

Me napita kwenye beat za ujazo, me napitia kwenye beat za ku-turn up bitches.

Nshapita kwenye ?????, nshafika kwenye Buster, nnachotaka we ninuse.

Usiishie kufa?????????saka.

Ukiingia town kwa kuvamia inakuwa kama vile umeingia chaka.

Natokea East ila kusini wameshaanza kunipata-pata.

I wana????? I wana K.O , ??????

??????????Nataka niende speed kama pastor.

Mimi mmoja kati yao Millions wanaojiita Rappers.

Ukiacha kufanana mwanzo wa jina you got Nothing else.

Wewe ndege ya abiria, mimi motherfucker private JET.

kuna kuchoka katika game, sometimes ipoo.

My Bad mlidhania nitapotea lakini nipoo.

Kuna vitu wala havihitaji uthibitisho.

Me namba 1 me n

Listen to “Young Lunya – Freestyle Session 5” below