Krg the Don Ft Darassa - Unashida Gani
Krg the Don Ft Darassa - Unashida Gani

AUDIO Krg the Don Ft Darassa – Unashida Gani MP3 DOWNLOAD

Kenyan recording artist and songwriter known as Krg The Don aka Lobos whose real names are Karuga Kimani today he has released brand new song tagged Unashida Gani in this track featured Tanzanian rapper known as Darassa.

RELATED : Will Gittens – My Bed Ft Ibraah

READ LYRICS BELOW

Unashida Gani? ft. Darassa – Krg The Don

touch touch.. touch..

(kuna shida Gani?)

(na shida Gani?)

(kuna shida Gani?)

unapiga simu uongei

(kuna shida Gani?)

ukipigiwa hupokei

(mwenzetu una shida gani?)

naona umenitext, mbona umefuta meseji?

(kuna shida Gani?)

good morning jirani, salamu kitu Cha bure

(kuna shida Gani?)

kudanganya watu unatoka na ha fiki

utaacha lini mambo yaaa kiki?

hata kwenye ugomvi unakuwa

sha biki

haubadi liki

hauambi liki

(kuna shida Gani)

naskia walishatoa napo sa

sasa chinichini unapanga kumto sa

Kila kukicha unalia na mwampo sa

na unajua anawapanga kisando sha

( mwenzetu una shida Gani?)

(kuna shida gani?)

(kuna shida Gani?)

plan A B na C

(plan A B na C

jina krg

(jina krg

you are the one wot

mi hata sikufikirii Wala sikufuatilii

Am to Pm umekaa kaa

kula kulala kujaba ja cha

kesho unalilia lia njaa kwa mitaa

wee jamaa na Jana ulikesha bar

skia all I need is one mich sikidii

naongea na wakenya hawanisikii

naongea na serikali uchumi ni ziii

kwenye nchi hii heee!

(una shida Gani?)

haya maisha hayataki utani

haya maisha yanataka ramani

vipi unachoma machani?

unasoma gazeti Gani??

mbona utoki msalani?

huko ndani?

(Kuna shida Gani?)

unapiga simu huongei

(kuna shida Gani?)

ukipigiwa haupokei

(mwenzetu una shida Gani?)

naona umenitext, mbona umefuta meseji?

(Kuna shida Gani?)

good morning jirani salamu kitu Cha bure

(Kuna shida Gani?)

utakuja kuua jitu

usiku mtasikia

unatabia tabia

ngumu kuvumilia

nakata kushoto

unakata kulia

kuwa maakini sana

weka maji kwenye njia

na njia wenye machibu

mnafaa kutulia

doctor anakuja na majibu kuwahudumia

ukitaka viboko nakujarazia

ukileta utoto nakukanyagia heee!

mbona kichwa kime pinda pinda?

una shida Gani?

mbona mambo ya kichinga chinga?

una shida Gani?

plan AB na C

Listen to “Krg the Don Ft Darassa – Unashida Gani” below