AUDIO | Lady Jaydee – Njiwa | DOWNLOAD
Lyrics
Njiwa – Lady Jaydee
njiwa peleka salamuuuu
oooo kwayule wangu muhibuuu
njiwa peleeka salaaaamuu
oo kwayule wangu muhibuu
umweeleze afahamu kwamba ninapata tabu
umwelezee afahamu kwamba ninapata tabu
hali yangu mahabubuuuuh
oo oh marazi yameniswibu
hali yangu mahabubuuuuuuh
ooo marazi yameniswibuu
Listen to “Lady Jaydee – Njiwa” below