Professor Jay – Utaniambia nini

 AUDIO | Professor Jay – Utaniambia nini | DOWNLOAD

Lyrics
Ah kwenye mziki nilianza kabla yakoShahidi mama yako utaniambia nini?Kama moto nimekula zaidi yakoAcha ngwanjala zako, utaniambia nini
Kama ng’ambo tulitimba kitamboKitambo kabla yako, utaniambia nini?Mijengoni nilikuwa na baba zakoWengine mama zako, utaniambia nini?
Nipe heshima yangu au niichukue kwa nguvuNipe heshima yangu au niichukue kwa nguvuSaa nane kazi sio chaka la maovuUkiongelea nyota si kwetu sigara kaliGame ina safari japo tumeitoa mbali
Mziki huu umenifanya niwe mbungeNisimame imara mi kumi kama MaureenImani yangu ilinifanya nishindeNamshukuru mwenyezi na zaidi naomba unilinde
Nina siri nyingi nyeti kama taulo la gestiUkinidelete wenzako wanarequestNilishasema ngoma ya watoto haikeshiLeo Jay namada nakumalizia kesi
Watoto wanavimba kama milisho amiraWanaume pisi kali mashauzi kama jamila20 ina maana gani kama mnapoteza diraMziki kwetu ajira udwanzi unanipa hasira

Listen to “Professor Jay – Utaniambia nini ” below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here