AUDIO |Professor Jay – Kikao Cha Dharura | DOWNLOAD
Lyrics
Nashukuru sana wananchi kwa kuweza kunipa kura
Nashangaa nimeitwa ghafla kwenye kikao cha dharura Kikao kinaashiria kina maswali juu yangu Hii inatokana na ndio mzee na ahadi zangu Naona watu ni wengi wananchi walio na maana Najaribu kutafakari ni nini kinawachanganya Nipo tayari kujibu maswali yeni zamu kwa zamu Watako uliza maswali ningependa kuwafahamu “Naitwa sajenti Bihonerwa kwa niaba ya Jeshi la polisi, nilikuwa nnauliza zile Helkopta zetu vipi?”Nafikiria kuanzisha kwanza chuo cha marubani
Vinginevyo mtapata ajali nyingi sana angani Baskeli hujui kuendesha helkopta utaendeshaje Kila mtu aendeshe yake huko angani itakuwaje “Mweshimiwa na sisi wakulima ulituahidi matrekta, na siku zinayoyoma tu mbona hujayaleta?” Wakulima mngeendelea tu kutumia jembe la mkono Serikari haina hela bajeti imefika kikomo Naona kilimo cha mkono kinaendelea vizuri Jamani kazeni mikono endeleeni kukaza msuliListen to “Professor Jay – Kikao Cha Dharura ” below