AUDIO | Professor Jay Ft Jose Chameleone – Ndivyo Sivyo | DOWNLOAD
Listen to ” Professor Jay Ft Jose Chameleone – Ndivyo Sivyo” below
Lyrics
Unavyodhani Ndivyo sivyo
Maisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo) Naongeza msistizo tena usimsahauMtu mwenye matatizo (mama yo yo)
Wangapi walikua nazo ona sasa hawana tena
Wamebaki naviulizo (vingi viulizo) Walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo (Ndivyo sivyo sivyo ndiyo)Eh! tusaidiane kwenya raha na shida
Usimdharau mwenye nja kwakua we umeshiba Maisha safari ndefu sio eleweka Leo uko hapa unalia mwenzako kule anachekaUsimutuze tu mwenye nyumba na gari
Kumbuka umaskini na utajiri zote hadhi Unavyodhani ndivo sivyo sivyo ndivyo Dunia hivyo ndilivio kuna rah na matatizoKama leo umepewa basi mushukuru mumba
Kama umekosa ongeza bidi na sio ndumba Mwenzio akiwa ana thama murushie kamba Sikia kilio cha watu wazima Bongo Mpaka Uganda!Unavyodhani Ndivyo sivyo
Maisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo) Naongeza msistizo tena usimsahau Mtu mwenye matatizo (mama yo yo)